Vitabu vya vichekesho.

Vitabu vya vichekesho.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Tuachane na comics, ni kitabu gani ulisoma ukacheka sana. Mi nilisoma kitabu kinaitwa Haifai. Hiki kinazungumzia jinsi ya kujiendesha kwa adabu katika mazingira mbalimbali. Muandishi anaitwa Abdu Baka, ni cha zamani, miaka ya 60 huko. Hiki kitabu kinafurahisha sana.

Kingine nilichocheka sana ni The Animal farm cha George Orwell. Pia vipo The Confederacy of Dunces, Don Quixote(hiki nilisoma kidogo), Hitchikers series na Biographies za comedians kama cha Trevor Noah, Tiffany Haddish nk.

Ningependa kujua vingine kutoka kwenu. Maana naipenda hii Genre, hivi kuna Comedian bongo kaandika kitabu?
 
Masanja mkandamizaji au yule Pastor Mgogo wakiandika vitabu nahisi vitakuwa vinachekesha sana.
 
Back
Top Bottom