Uchaguzi 2020 Vitali Maembe aondolewa kugombea Ubunge Bagamoyo

Uchaguzi 2020 Vitali Maembe aondolewa kugombea Ubunge Bagamoyo

Hapa jf tu unajificha na fake ID, sasa mtaani ndio utaonekana wewe

Mangapi mlisema hayawi?

Subirini treni la Sayuni likamate kasi.

Ya kuwa hatujachoka?

Safari hii haburuzwi mtu bali ikibidi kitaeleweka tu. Kwani yupo mwenye hati miliki ya kuburuza wengine?
 
Tulisema msiingie kwenye uchaguzi hadi TUME HURU ipatikane na baadhi ya sheria zinazosimamia uchaguzi zipatikane ikiwemo ya matokeo ya Urais kuwa challenge mahakamani.
Zingepatikanaje sasa?
 
Kama MAJORITY ya vyama vyenye nguvu wanaamua kutoshiriki, CUF ya Lipumba inakosa nguvu ya kuhalalisha uchaguzi.
Uchaguzi wa serikali za mitaa ulifanyika bila chama chochote kushiriki kuna kitu chochote kilichobadilika?
 
Tulisema msiingie kwenye uchaguzi hadi TUME HURU ipatikane na baadhi ya sheria zinazosimamia uchaguzi zipatikane ikiwemo ya matokeo ya Urais kuwa challenge mahakamani.

Wakati mwengine kumkamata jambazi lazima umuwekee mtego. Isingeingia CDM na ACT kwenye uchaguzi hakuna ambaye angeanguliwa na kura zingehisabiwa mubashara watu wote waone kuwa ucgaguzi ni huru na wa haki.
 
"Nimekuteua nimekupa madaraka, nakulipa mishahara, nimekupa nyumba nzuri, nimekupa gari nzuri, nk. halafu umtangaze mpinzani kuwa ameshinda uchaguzi Mkuu, utanitambua". Amesikika akisema bwana yule.
Jitahidini kujaza form kwa ufasha,kama kiswahili kinawashinda ,je kingereza anachokipigia chapuo mbelgiji?
 
Back
Top Bottom