Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Duh basi hatariHayo ni mafuta mkuu
Mafuta,sitakuja kuwa nacho kamwe hikiIvi ndani ya kitambi huwa kunakua na nini..gesi au ni nini
Hata obesity..ni dalili ya utaahira.Kuna jamaa aliwahi kusema namnukuu "kitambi ni dalili muhimu ya uzembe na ukosefu wa nidhamu juu ya mwili wako " alisema na kuongeza
[emoji134]
Bhasi nianze jitihada za kukiondoa kabla hakijawa kikubwa sana.Mtoa mada,tafuta mchepuko mmoja tu,akiomba pesa za matumizi kwa miezi 2 mfulululizo kitambi chote kwisha habari yake.
Angalia tu usije tomb.wa,maana wenye vitambi wengi wana vibamia plus kutoweza kupiga show za kibabe!!
Asikudanganye Mtu, show ya Mwenye kitambi ni tofauti na ya mbaumbau...ogopa jamaa mwenye umbo kama kipepeo.Hhahahha...Napiga show kama kawa.
Ina maana na hili huwapata wenye vitambi?! Inabidi nione mikakati ya kukiondoa.
Ila kitambi kuna raha zake[emoji2] ...unaonekana kama Bosi vile
Hata dalili sina,Ila sitakuja endekeza huu upuuzi.Unagongewa mke balaaJitahidi sana.
Ukitaka kuvaa viatu,kitambi unakiweka pembeni mkuu,ukimaliza unakichukua mbona simple tu,mi nina kitambi toka 1994Wasalamu wakuu,
Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.
Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134]
Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134]
Kuvaa suruali shida, yaani shida tupu.
Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????
Msaada wenu wakuu.
MchangaIvi ndani ya kitambi huwa kunakua na nini..gesi au ni nini
Yaani Miezi 6 kitambi kimekua mpaka unashindwa kuvaa viatu na kukaa chini? Kapime ugonjwa wa ini au moyo nao unasababisha tumbo kuvimba,unaweza ukafikiri kitambi kumbe tumbo limevimba.Hahahha...aiseee...nikirudisha nyuma miezi kama Sita hivi...nilikuwa fresh, sina tabu kukaa, kuvaa viatu...kupiga kiwi.
Now shida tu.
Gongo tena mkuu![emoji134] [emoji2]
Kitambi huleta kibamia shauri yakoHhahahha...Napiga show kama kawa.
Ina maana na hili huwapata wenye vitambi?! Inabidi nione mikakati ya kukiondoa.
Ila kitambi kuna raha zake[emoji2] ...unaonekana kama Bosi vile