Vitambi kweli ni changamoto

Vitambi kweli ni changamoto

Mtoa mada,tafuta mchepuko mmoja tu,akiomba pesa za matumizi kwa miezi 2 mfulululizo kitambi chote kwisha habari yake.
Angalia tu usije tomb.wa,maana wenye vitambi wengi wana vibamia plus kutoweza kupiga show za kibabe!!
 
Nimemnukuu tu kwenye maongezi yetu anasema....mtu mwenye kitambi mara nyingi huwa ni mvivu na asiekuwa na mipangilio juu ya afya yake yaani "careless" akasisitiza kuwa wengi wenye vitambi huwa goigoi kwenye mambo mengi isipokuwa kwenye masaptasapta na vilaji...
[emoji134]
 
Mtoa mada,tafuta mchepuko mmoja tu,akiomba pesa za matumizi kwa miezi 2 mfulululizo kitambi chote kwisha habari yake.
Angalia tu usije tomb.wa,maana wenye vitambi wengi wana vibamia plus kutoweza kupiga show za kibabe!!
Bhasi nianze jitihada za kukiondoa kabla hakijawa kikubwa sana.

Show bado napiga kama kawa.

Ngoja nikiwahi,

Ila kwa hiki kitambi, napata heshima kama bosi...hahah.

Kumbe mlalahoi
 
Hhahahha...Napiga show kama kawa.

Ina maana na hili huwapata wenye vitambi?! Inabidi nione mikakati ya kukiondoa.

Ila kitambi kuna raha zake[emoji2] ...unaonekana kama Bosi vile
Asikudanganye Mtu, show ya Mwenye kitambi ni tofauti na ya mbaumbau...ogopa jamaa mwenye umbo kama kipepeo.
 
Wasalamu wakuu,

Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.

Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134]

Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134]
Kuvaa suruali shida, yaani shida tupu.

Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????

Msaada wenu wakuu.
Ukitaka kuvaa viatu,kitambi unakiweka pembeni mkuu,ukimaliza unakichukua mbona simple tu,mi nina kitambi toka 1994
 
Nakumbuka kuna Dingi mmoja alikuwa ananihadithia jinsi analazimika kuingia bafuni na stuli, ili aoge huku ameketi.
Yaani mkuu, ni shida sana....shida hadi kujisugua miguu...Shida kuvua boksa uoge.
 
Ukitaka kuvaa viatu,kitambi unakiweka pembeni mkuu,ukimaliza unakichukua mbona simple tu,mi nina kitambi toka 1994
Unafanyaje? Jinsi ya kukiweka pembeni? Style gani?
 
Hahahha...aiseee...nikirudisha nyuma miezi kama Sita hivi...nilikuwa fresh, sina tabu kukaa, kuvaa viatu...kupiga kiwi.

Now shida tu.

Gongo tena mkuu![emoji134] [emoji2]
Yaani Miezi 6 kitambi kimekua mpaka unashindwa kuvaa viatu na kukaa chini? Kapime ugonjwa wa ini au moyo nao unasababisha tumbo kuvimba,unaweza ukafikiri kitambi kumbe tumbo limevimba.
 
Hhahahha...Napiga show kama kawa.

Ina maana na hili huwapata wenye vitambi?! Inabidi nione mikakati ya kukiondoa.

Ila kitambi kuna raha zake[emoji2] ...unaonekana kama Bosi vile
Kitambi huleta kibamia shauri yako
 
Back
Top Bottom