Vitambi kweli ni changamoto

Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????

Msaada wenu wakuu.
Punguza kula hovyo,jaribu kutembea kwa miguu kwa walau nusu saa kila siku
 
Kujinyoa sehemu za siri shida
Kufanya matusi shida
Kujisaidia shida ...mpaka unyooshe mikono juu ndio mzigo utoke wote
Na usipokuwa makini hata kujiswafi ni shida
 
Kwa mtu ulieoa halafu uwe na kauwezo kidogo kwakweli ni ngumu sana kukwepa kitambi.. maana asubuhi ukiamka unakuta tayari mayai, soseji, mkate na blueband viko mezani na chai nzito ya maziwa.. Mchana utakula ofisini nako ni wali kuku, nyama, samaki roast maini nk.. jioni tena msosi hevi unashushia na bia mbili.. Hapo huchomoki mzee.. Na kama una kausafiri ndio ivyo tena hutembei yaani kwisha..!
 
[emoji2]
 
Kujinyoa sehemu za siri shida
Kufanya matusi shida
Kujisaidia shida ...mpaka unyooshe mikono juu ndio mzigo utoke wote
Na usipokuwa makini hata kujiswafi ni shida
[emoji134]
 
Kibaya zaidi ukiwa na kitambi hata wanawake wazuri hawakupendi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…