Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kula hovyo,jaribu kutembea kwa miguu kwa walau nusu saa kila sikuWakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????
Msaada wenu wakuu.
Waswahili tunasema hivi: stahamili japo unaumia,kitambi deal mjini hapaHahahhahaah...kweli, ila tatizo kina tabu sana behind the scene.
Kujinyoa sehemu za siri shidaWasalamu wakuu,
Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.
Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134]
Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134]
Kuvaa suruali shida, yaani shida tupu.
Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????
Msaada wenu wakuu.
Mafuta mengi sanaIvi ndani ya kitambi huwa kunakua na nini..gesi au ni nini
hahahaha...basi sawaMfulio tu Mkuu, Nashangaa kimefata nini?
[emoji2]Kwa mtu ulieoa halafu uwe na kauwezo kidogo kwakweli ni ngumu sana kukwepa kitambi.. maana asubuhi ukiamka unakuta tayari mayai, soseji, mkate na blueband viko mezani na chai nzito ya maziwa.. Mchana utakula ofisini nako ni wali kuku, nyama, samaki roast maini nk.. jioni tena msosi hevi unashushia na bia mbili.. Hapo huchomoki mzee.. Na kama una kausafiri ndio ivyo tena hutembei yaani kwisha..!