comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Hi !
Kwa sheria za nchi yetu ili uweze kuishi kwa amani ni muhimu ukawa na kitambulisho kinachokutambulisha ya kuwa wewe ni raia wa tanzania na vitambulisho hivyo ni pamoja na
Kitambulisho cha mpiga kura
Kitambulisho cha uraia n.k
Na hivi ndivyo vinakusaidia kwenye mambo mbalimbali kama kufungua account za benk,kusajiri laini na vitu kama ivo pamoja na kusajiri biashara,kampuni,au jina la biashara brela bila hivyo utazunguka sana bila mafanikio
Ukizingatia kwa wale ambao kipindi cha kuandikisha walikuwa bado hawajitimia umri wa kuandikishwa na hawana vitambulisho vya mpiga kura na hata hivi vya uraia hata havipatikani kwa urahisi
Hivyo nilikuwa naomba msaada wa jinsi gani naweza kupata vitambulisho vya uraia au wapi hasa wanatoa hivi vitambulisho maana inatupa shida sana kwenye usajiri wa laini na vitu kama hivyo msaada wenu tafadhari na huku mikoani vinapatikana wapi/ofisi zipi kwa maana ni za wilaya ,mkoa,au wapi ?
Post sent using JamiiForums mobile app