Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Sa hv kariakoo ni nadra Sana kuona mfanya biashara anatoa rist ya efd wanakwambia hzo zilikuwa za Maghufuli ...!!! Ukizingua Sana wanakupandishia bei au wanakutosa uende pengine
Jibu lake Ukipata ni tagZile 20000 zilikuwa zinaenda wapi
Kila mtu alipe kodi, huwezi ukawa unapanga lundo la bidhaa barabarani halafu hulipi hata senti, eti wewe mnyonge..mentality za kipuuzi sana hiziNchi imesharudi kwa wenyewe.
Wanyonge hawana haki tena ndani ya nchi yao.
RIP Magufuli, you were the best.