Vitambulisho vya NIDA vipigwe "photocopy" kisha muhuri wa serikali ya mtaa kama cards za gari

Vitambulisho vya NIDA vipigwe "photocopy" kisha muhuri wa serikali ya mtaa kama cards za gari

Nina Akili Ndogo Sana

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
865
Reaction score
1,125
It's me JamiiForums member: Nina Akili Ndogo Sana.

Kama kadi ya gari inapigwa photocopy pamoja na kuwekwa muhuri (stamp duty) ya TRA, kwanini kitambulisho cha NIDA kisipigwe photocopy na kuwekwa muhuri wa serikali ya mtaa kwa gharama ya 1,000 TZS pekee ili mtu atembee na copy pekee??

Mtu akipoteza kitambulisho cha NIDA analipa 20,000/= ila akipoteza copy ya kadi ya gari atapiga tu photocopy na kulipia stamp duty kisha anapewa nyingine.

What the hell is this ndugu zangu??

NB: Please Remember my name: Nina Akili Ndogo Sana.
 
KITAMBULISHO CHA TAIFA NI UHUNI KAMA UHUNI MWINGINE TU HIVI NANI ANAYEWEZA KUPOTEZA FINGER PRINTS?,AU KUHARIBU AMA KUGUSHI?,WAMEKOSA MAARIFA WATUPE PESA TUWAPE MAARIFA.
 
Back
Top Bottom