KERO Vitambulisho vya uraia NIDA kufutika maandishi inatokana na nini?

KERO Vitambulisho vya uraia NIDA kufutika maandishi inatokana na nini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,335
Reaction score
9,286
Mamlala husika kwanini vitambulisho vya nida mnavyotengeneza hufutika maandishi yake, shida ni nini?

Mbona vitambulisho kama leseni za udereva, kitambulisho cha mpiga kura havifutiki maandishi kama hivi vya nida, Wakati hivi ni zaidi ya hivyo vitambulisho

Kwanini mnafanya vitu kwa kulipua hamuoni usumbufu watu kurudi kwenye hizo taasisi zenu kudai kingine. Je sio gharama kutoa hiyo huduma alafu mnadai kikifutika lete tukitengeze kinine bure, mpo serious kweli? kwanini msitafute suluhisho la kudumu

Soma pia
 
Low quality ya material

Na sio vya NIDA pekee hadi hivi vya kura vya sasa navyo vinabanduka.
 
Changu kimebanduka sura haieleweki no nazo zimefutika yangi ni mwendo wa watu kula cha juu
 
Back
Top Bottom