Vitambulisho vya Wajasirimali viliishiaga wapi?

Waliambiwa wanaweza kukopea bank
 
Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
Vipo vinaendelea na wajasiriamali wanaendelea kusajiliwa kwa mfumo kabisa kwa kila Halmashauri nchini!
Na wanalipia kabisa kwa control number! Sema hmfatilii mambo
 
Vipo vina boreshwa kuwa vya kisasa zaidi
 
Hivi nchi hii, hamkuona umuhimu wa JPM ?
Kama hamkuuona, mmelogwa kwa kweli,.
Kumpoteza yule jamaa tulipata hasara ya Karne
 
Huyu bibi ameweza kubuni Nini zaidi ya kubuni mkesha wa muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…