Vitambulisho vya Wajasirimali viliishiaga wapi?

Vitambulisho vya Wajasirimali viliishiaga wapi?

Nakumbuka ulikua unatakiwa uvae shingoni muda wote ukiwa kwenye ujasiriamali wako...saiv hamna kitu
 
Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
Ulikuwa upuuzi wa, jitu moja LA ikulu, likatumia rasilimali za umma, kufanya mradi wake, yapo mengi tu madudu,
Kilimo kwanza, na, big result now, ya kenge wa msoga!
 
Huo ulikuwa ukirupukaji wa CCM kama kawaida yao.
 
Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
Vilizimwa na wafuatao

1. Utawala uliopo madarakani kwa sasa ili kumkomoa aliyekuwa rais wa awamu ya tano
2. Wafanyabiashara wenye tamaa na mafisadi
3. Ukosefu wa sheria ya kinga kwa vitambulisho hivyo
4. Chuki binafsi za watendaji dhidi ya utawala uliopita awamu ya tano ya JPM
 
KWA mwaka walikuwa wanakusanya kiasi gani?
 
Back
Top Bottom