Unaweza kununua supplement kutoka katika maduka ya dawa. Mimi si daktari.Tunashukuru Dr. kwa kutokuwa mchoyo
Sasa wengine hatujui hivyo vitamin vinapatikana kwenye vyakula gani vinavyounda hizo compound tunaomba usichoke kutupa somo zaidi
Ahsante
Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka.
Kuna wakati Vitamin B12 hazikupatikana katika mtandao pendwa wa Amazon. Watumiaji waliongezeka kwa wingi kutokana na matokeo chanya ya dawa hizi.
Nimepokea habari hii na nimeona niwajumuishe tuifahamu wote.