Vitamu vyote vimekatazwa. Hivi Duniani tumekuja kufanya nini?

Vitamu vyote vimekatazwa. Hivi Duniani tumekuja kufanya nini?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
- Pombe imekatazwa
- Kitimoto imekatazwa
- Uzinzi umekatazwa
- Kuruka ukuta kumekatazwa (tena kwa Amri na hukumu kabisa nanukuu: "Wazinzi na Wafiraji wote hawatauona ufalme wa mbingu")

Hivyo ni baadhi ya vitu vitamu, vyombo vya starehe vya kutumia unapokuwa umechoka au kuitaji kiburudisho

Lakini vyote vimekatazwa, hivi duniani tumekuja kufanya nini sasa?
 
Mbona juice ni tamu na haijakatazwa,vipi kuhusu nyama ya kuku,hivyo vyote sio vitamu!!!!???? Kajipange.
Nyama ya kuku sio tamu ni ya kawaida tu, juice ni tamu lakini mpaka uchanganye na sukari lakini papuchi ni Tamu in Natural nayo kuichapa kwa watu tofauti toauti ni dhambi imekatazwa
 
Back
Top Bottom