Nakuuliza wewe.Muulize shekhe kipozeo
Nyama ya kuku sio tamu ni ya kawaida tu, juice ni tamu lakini mpaka uchanganye na sukari lakini papuchi ni Tamu in Natural nayo kuichapa kwa watu tofauti toauti ni dhambi imekatazwaMbona juice ni tamu na haijakatazwa,vipi kuhusu nyama ya kuku,hivyo vyote sio vitamu!!!!???? Kajipange.
Acha kudanganya watu wewe. Mwaka juzi nilifikia hotel moja pale UAE, muda wa msosi nikaagiza pork and salad. Nikaletewa kitimoto imenona hakuna mfanoKitimoto ni kharamu
Sio wote, watumia bibilia ndo tunaenda kusifu na kuabudu, ila watumia quruan wanaenda bustanini kula mema ya duniani, mabikira72, mito ya asali na maziwa,Mbinguni nako kwa mujibu wa maandiko ni kazi moja tu kusifu na kuabudu
Mkuu umehama lini Dar 😂 Muuza vyepe maarufuJuice ya miwa ni kwa wanaume wa dar sisi wa mkoani tunakula miwa na maganda yake mkuu