Vitamu vyote vimekatazwa. Hivi Duniani tumekuja kufanya nini?

Sio wote, watumia bibilia ndo tunaenda kusifu na kuabudu, ila watumia quruan wanaenda bustanini kula mema ya duniani, mabikira72, mito ya asali na maziwa,
Yaani umekatazwa uzinzi duniani alafu unaenda kupewa mabikra 72 peponi serious mkuu we unaamini?
 
Acha kudanganya watu wewe. Mwaka juzi nilifikia hotel moja pale UAE, muda wa msosi nikaagiza pork and salad. Nikaletewa kitimoto imenona hakuna mfano
Ni kharamu imekatazwa lakini sio kwa Fimbo ukijisikia Unakula tu
 
Peremende hazijakatazwa lakini
Wala halua
Wala yokozuna mixer veve

Jr[emoji769]
 
Tuliumbwa tulime na kuitunza bustani ,mbona vitamu siyo hivyo ulivyoorodhesha!?vitamu ni km,,,,Oa mke au olewa uufurahie uumbaji,kula kuku na vingine vilivyo safi,kunywa juis,maziwa nk,ishi vizuri na watu,hayo ndo maisha ya utamu
 
Duniani tumekuja kujifunza mema tu mabaya ni ya shetani kwahiyo uamuzi ni wako kusuka au kuñyoa!
 
Kwani kukitana na wanyama ni kitu kitamu? Mbona na yenyewe imekatazwa?
Nasikia watu wanagongana sana na mijibwa, hasa wadada, utawasikia wanaume wote ni mbwa tu....
Wamenogewa na mbwa Hadi wanaona mbwa ni Bora kuliko mwanaume
 
Yaani umekatazwa uzinzi duniani alafu unaenda kupewa mabikra 72 peponi serious mkuu we unaamini?
Sasa hapa duniani mbona kuna ruhusa ya kuoa wake wanne,sasa kama hapa duniani tu ni wanne je huko peponi kwa nini ishindikane na huko ndo kuna raha ambazo hazina ukomo na zaidi ya duniani ?
 
Sasa hapa duniani mbona kuna ruhusa ya kuoa wake wanne,sasa kama hapa duniani tu ni wanne je huko peponi kwa nini ishindikane na huko ndo kuna raha ambazo hazina ukomo na zaidi ya duniani ?
Kama huko peponi kuna mabikra 72,
Kwa nini tusingeruhusiwa kuzimenya hapa hapa duniani tunakoziona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…