Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umekatazwa uzinzi duniani alafu unaenda kupewa mabikra 72 peponi serious mkuu we unaamini?Sio wote, watumia bibilia ndo tunaenda kusifu na kuabudu, ila watumia quruan wanaenda bustanini kula mema ya duniani, mabikira72, mito ya asali na maziwa,
Acha kuamini kila unachoambiwa mkuuNi kharamu imekatazwa lakini sio kwa Fimbo ukijisikia Unakula tu
Sio vyote vimekatazwa ndo point yanguWapi nimetaja ganja na sigara kwenye bandiko langu mkuu?
Peremende hazijakatazwa lakini- Pombe imekatazwa
- Kitimoto imekatazwa
- Uzinzi umekatazwa
- Kuruka ukuta kumekatazwa (tena kwa Amri na hukumu kabisa nanukuu: "Wazinzi na Wafiraji wote hawatauona ufalme wa mbingu")
Hivyo ni baadhi ya vitu vitamu, vyombo vya starehe vya kutumia unapokuwa umechoka au kuitaji kiburudisho.
Lakini vyote vimekatazwa, hivi duniani tumekuja kufanya nini sasa?
Tuliumbwa tulime na kuitunza bustani ,mbona vitamu siyo hivyo ulivyoorodhesha!?vitamu ni km,,,,Oa mke au olewa uufurahie uumbaji,kula kuku na vingine vilivyo safi,kunywa juis,maziwa nk,ishi vizuri na watu,hayo ndo maisha ya utamu- Pombe imekatazwa
- Kitimoto imekatazwa
- Uzinzi umekatazwa
- Kuruka ukuta kumekatazwa (tena kwa Amri na hukumu kabisa nanukuu: "Wazinzi na Wafiraji wote hawatauona ufalme wa mbingu")
Hivyo ni baadhi ya vitu vitamu, vyombo vya starehe vya kutumia unapokuwa umechoka au kuitaji kiburudisho.
Lakini vyote vimekatazwa, hivi duniani tumekuja kufanya nini sasa?
Duniani tumekuja kujifunza mema tu mabaya ni ya shetani kwahiyo uamuzi ni wako kusuka au kuñyoa!- Pombe imekatazwa
- Kitimoto imekatazwa
- Uzinzi umekatazwa
- Kuruka ukuta kumekatazwa (tena kwa Amri na hukumu kabisa nanukuu: "Wazinzi na Wafiraji wote hawatauona ufalme wa mbingu")
Hivyo ni baadhi ya vitu vitamu, vyombo vya starehe vya kutumia unapokuwa umechoka au kuitaji kiburudisho.
Lakini vyote vimekatazwa, hivi duniani tumekuja kufanya nini sasa?
Kwani kukitana na wanyama ni kitu kitamu? Mbona na yenyewe imekatazwa?- Pombe imekatazwa
- Kitimoto imekatazwa
- Uzinzi umekatazwa
- Kuruka ukuta kumekatazwa (tena kwa Amri na hukumu kabisa nanukuu: "Wazinzi na Wafiraji wote hawatauona ufalme wa mbingu")
Hivyo ni baadhi ya vitu vitamu, vyombo vya starehe vya kutumia unapokuwa umechoka au kuitaji kiburudisho.
Lakini vyote vimekatazwa, hivi duniani tumekuja kufanya nini sasa?
Mbinguni nako kwa mujibu wa maandiko ni kazi moja tu kusifu na kuabudu
Sasa hapa duniani mbona kuna ruhusa ya kuoa wake wanne,sasa kama hapa duniani tu ni wanne je huko peponi kwa nini ishindikane na huko ndo kuna raha ambazo hazina ukomo na zaidi ya duniani ?Yaani umekatazwa uzinzi duniani alafu unaenda kupewa mabikra 72 peponi serious mkuu we unaamini?
Kama huko peponi kuna mabikra 72,Sasa hapa duniani mbona kuna ruhusa ya kuoa wake wanne,sasa kama hapa duniani tu ni wanne je huko peponi kwa nini ishindikane na huko ndo kuna raha ambazo hazina ukomo na zaidi ya duniani ?