Vitamu vyote vimekatazwa. Hivi Duniani tumekuja kufanya nini?

Ndio mkuu we ulitaka ulipwe nini Papuchi 72?
Mimi ninachofahamu na ambacho kinaendana na akili na mazingira ya binadamu ni kuwa ukishamaliza kufanya kazi uliyopewa unalipwa ujira ambao sio ile kazi yako.

Sijawahi kuona mtu unalima alafu ukimaliza unaambiwa malipo yako ni kulima tena ile sehemu iliyobakia.

Akili yangu inakataaa jambo hilo.labda iwe unaabudu na mambo mengine mengii unapata apart from kuabudu.

Mabikra 72 naona inawezekana kabisa kwa sababu hapa duniani trela lake tumeambiwa tuanze na wanne kwaanza. 😁
 
Kama huko peponi kuna mabikra 72,
Kwa nini tusingeruhusiwa kuzimenya hapa hapa duniani tunakoziona?
Kwa sababa utaratibu ni kuwa utapata vizuri vya peponi mpaka ufuate masharti ya hapa duniani.kwa hiyo bikra hizo ni kwa wale waliofuzu masharti ya hapa duniani.

Ni sawa na mtu aambiwe ukifaulu mtihani nakupa gari,alafi mtu akataka kupewa gari kabla ya mtihani wenyewe ati aione kwanza,bila shaka lengo sio hilo.

Peponi ni kwa wachamungu
 
Mkuu ni busara tu kutokana na consequences za hayo matendo,mara nyingi huwa na outcome mbaya! Haimaniishi kwakua wewe unafanya moja kati ya hayo na hujaona tatizo basi ni halali.. wakati fulani ni vyema kutumia akili zaidi kuliko hisia!
 
- no 1 ndo ntaijadili no 4 na 5 haihitaji mijadala.no 2 .ni suala la tafsiri ya binadamu na maandiko yake.

No 1- Kuna Amri na makatazo na ushauri toka kwa Mungu.

Ukiisoma biblia yote, Mwanzo kati na Mwisho hakuna sehemu yoyote iliyokataza binaadamu kunywa pombe.

Ila kuna ushauri na madhara ya pombe na faida zake.

Lkn kuna madhehebu ambayo wao kwa mujibu wa kanuni zao na tafsiri ndeefu za kuungaunga na mifano toka kwenye biblia wamekuja na katazo la pombe.
 
Nadhani tatizo ni kuwaza kibinadamu.
 
Pamoja na kijizungusha na kujibaraguza kote huko, mimi naona point yako hapo ni moja tu hiyo dash3!

Hauwezi sema uchafu mtamu, wajuaji hapo tumeshakuelewa kwamba upo kwenye fungu la kukosa, sasa unataka huruma ya ulimwengu, ama kuwanasa wale ndege mrukao kundi moja.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]
Sio wote, watumia bibilia ndo tunaenda kusifu na kuabudu, ila watumia quruan wanaenda bustanini kula mema ya duniani, mabikira72, mito ya asali na maziwa,
 
Pombe... kunywa juice au soda. Uzinzi tafuta MWANAMKE uoe,,.kiti moto ,,,kula MBUZI au ng'ombe ..kuruka ukuta .....endelea kukaa kibarazani ...TATIZO lipo wapi MKUU?
 
Leo ndio nimeamini kuwa Jehova na Allah sio wamoja yaani kwa Allah ni kubikiri mabikira wote hao halafu kwa Jehova ni kusifu na Kuabudu milele hivi huyo Allah mgawa mabikira kwa vidume ni Mungu wa DUNIA hii au?
Sio wote, watumia bibilia ndo tunaenda kusifu na kuabudu, ila watumia quruan wanaenda bustanini kula mema ya duniani, mabikira72, mito ya asali na maziwa,
 
Cheza games, kunywa soda, shiriki michezo unayoipenda mfano mpira mbona hivyo vyote ni vitam tu
 
Mbona juice ni tamu na haijakatazwa, vipi kuhusu nyama ya kuku, hivyo vyote sio vitamu? Kajipange.
Leo ndio nimeamini kuwa Jehova na Allah sio wamoja yaani kwa Allah ni kubikiri mabikira wote hao halafu kwa Jehova ni kusifu na Kuabudu milele hivi huyo Allah mgawa mabikira kwa vidume ni Mungu wa DUNIA hii au?
Inanifurahishaga sana hii habari ya mabikra 72 na jinsi wahusika wanavyosubiri kwa hamu... kweli dunia haijawahi kuisha vituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…