safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mimi ninachofahamu na ambacho kinaendana na akili na mazingira ya binadamu ni kuwa ukishamaliza kufanya kazi uliyopewa unalipwa ujira ambao sio ile kazi yako.Ndio mkuu we ulitaka ulipwe nini Papuchi 72?
Sijawahi kuona mtu unalima alafu ukimaliza unaambiwa malipo yako ni kulima tena ile sehemu iliyobakia.
Akili yangu inakataaa jambo hilo.labda iwe unaabudu na mambo mengine mengii unapata apart from kuabudu.
Mabikra 72 naona inawezekana kabisa kwa sababu hapa duniani trela lake tumeambiwa tuanze na wanne kwaanza. 😁