Ndo ivo waislam wao wameahidiwa vitu tofaut na ssLeo ndio nimeamini kuwa Jehova na Allah sio wamoja yaani kwa Allah ni kubikiri mabikira wote hao halafu kwa Jehova ni kusifu na Kuabudu milele hivi huyo Allah mgawa mabikira kwa vidume ni Mungu wa DUNIA hii au?
Unasahau kwamba vyote vilivyokatazwa vina madhara. Hapo ndipo utakapo jua ya kuwa yaliyo ruhusiwa ni mengi. kuliko yaliyo katazwa.- Pombe imekatazwa
- Kitimoto imekatazwa
- Uzinzi umekatazwa
- Kuruka ukuta kumekatazwa (tena kwa Amri na hukumu kabisa nanukuu: "Wazinzi na Wafiraji wote hawatauona ufalme wa mbingu")
Hivyo ni baadhi ya vitu vitamu, vyombo vya starehe vya kutumia unapokuwa umechoka au kuitaji kiburudisho
Lakini vyote vimekatazwa, hivi duniani tumekuja kufanya nini sasa?
Kama nguruwe😁😁!!Juice ya miwa ni kwa wanaume wa dar sisi wa mkoani tunakula miwa na maganda yake mkuu
Kama nguruwe😁😁!!Juice ya miwa ni kwa wanaume wa dar sisi wa mkoani tunakula miwa na maganda yake mkuu
Sio wote, watumia bibilia ndo tunaenda kusifu na kuabudu, ila watumia quruan wanaenda bustanini kula mema ya duniani, mabikira72, mito ya asali na maziwa,
Kwa hiyo jiwe anataka kutengeneza mbingu yake kabla hajafa ili aonye raha yake(anajua hataiona mbingu ya ukweli).Mbinguni nako kwa mujibu wa maandiko ni kazi moja tu kusifu na kuabudu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hoja fikirishi Sana hiiNipe mstari kwenye Bible unaokataza ganja na sigara...
[emoji23][emoji23][emoji23]hizi Dini hizi[emoji848]Yaani umekatazwa uzinzi duniani alafu unaenda kupewa mabikra 72 peponi serious mkuu we unaamini?
Mkuu ID yako inaonesha wew na tundu lisu ni ndugu!!Mbona juice ni tamu na haijakatazwa, vipi kuhusu nyama ya kuku, hivyo vyote sio vitamu? Kajipange.
Haijakatazwa lakini.Umesahau nyeto
Mkuu akili yako unaijua mwenyeweKitimoto hakijakatazwa labda kwa dini ya kiarabu.
Duniani umekuja kula kwa jasho, kuomba na kusifu,vitamu utavikuta mbinguni au bustanini