Vitamu vyote vimekatazwa. Hivi Duniani tumekuja kufanya nini?

Vitamu vyote vimekatazwa. Hivi Duniani tumekuja kufanya nini?

Leo ndio nimeamini kuwa Jehova na Allah sio wamoja yaani kwa Allah ni kubikiri mabikira wote hao halafu kwa Jehova ni kusifu na Kuabudu milele hivi huyo Allah mgawa mabikira kwa vidume ni Mungu wa DUNIA hii au?
Ndo ivo waislam wao wameahidiwa vitu tofaut na ss
 
- Pombe imekatazwa
- Kitimoto imekatazwa
- Uzinzi umekatazwa
- Kuruka ukuta kumekatazwa (tena kwa Amri na hukumu kabisa nanukuu: "Wazinzi na Wafiraji wote hawatauona ufalme wa mbingu")

Hivyo ni baadhi ya vitu vitamu, vyombo vya starehe vya kutumia unapokuwa umechoka au kuitaji kiburudisho

Lakini vyote vimekatazwa, hivi duniani tumekuja kufanya nini sasa?
Unasahau kwamba vyote vilivyokatazwa vina madhara. Hapo ndipo utakapo jua ya kuwa yaliyo ruhusiwa ni mengi. kuliko yaliyo katazwa.

Ahsante.
 
Na zilivyongumu kutoa ntatoa hamsini hizo nyingine ntasusa
Sio wote, watumia bibilia ndo tunaenda kusifu na kuabudu, ila watumia quruan wanaenda bustanini kula mema ya duniani, mabikira72, mito ya asali na maziwa,
 
Hujakatazwa mkuu, ila oa kwanza starehe upate ndani ya ndoa
 
Hakuna hata vitamu kati ya ulivyovitaja, hivi kuna utamu zaidi ya kushushia Pepsi baridi wakati una kiu halafu ukapumzika sehemu ya kivuli unapigwa na kiupepo wakati umetoka kutembea?

Una njaa ukapewa chakula unachokipenda sana eg Pilau la maana full mapokopoko manjali?
 
Vitamu kwa perceptions zako wengine tunaona kinyaaa tu kumbe kuna watu kwao ni vitamu Atari sana

#anyway umeuliza duniani tumekuja kufanya nini,


Jibu

Tumekuja kuutukuza ufalme wa alieziumba mbingu na ardhi na vilivyomo baina yake,hivyo alituwekea sheria kupitia vitabu vyake vitakatifu ili maisha yapate maana yake halisi,mana nahisi tusingewekewa sheria na muumba tungeishi zaidi ya wanyama waishivyo,


#hivyo katuwekea motisha kwa yoyote atae fanya vizuri katika kufuata sheria zake hapa hapa duniani utapata maisha yenye amani na kesho katika maisha ya milele.

#vile vile kinyume chake kuna adhabu iumizayo kwa mtenda maasi,au asietiii sheria alizoweza muumba wake.
 
K
Mbinguni nako kwa mujibu wa maandiko ni kazi moja tu kusifu na kuabudu
Kwa hiyo jiwe anataka kutengeneza mbingu yake kabla hajafa ili aonye raha yake(anajua hataiona mbingu ya ukweli).
 
Back
Top Bottom