Vitamu vyote vimekatazwa. Hivi Duniani tumekuja kufanya nini?

Hivi ushawahi kunywa mirinda nyeusi wewe?
 
Nasmama hapo kweny hicho kitamu ulichoelezea na hukumu yake, wallah hyo kitu n tamu zaid ya kunogaaah. Aaaaah km n dhambi bhan npo tayar nkatumikie, ila kutofanya tamu hyo mmmh SIWEZI.[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 

Mnaishiaga hapo tu endelea mistari ya mbele kwenye ilo neno je yanasemaje? Na swali kwako mleta mada tupo agano la kale au agano jipya?
 
Umekatazwa na nani,?
 
Tumsifu Yesu Kristo mkuu....

Hahaaa, kwema mkuu!?
 
Qur-an imetufundisha hili andiko Sura ya 5

5. Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. ( kwa hiyo vyakula, wanawake,vinywaji na maeneo mazuri kuyatembelea kama mabustani fukwe za bahari na kadhalika)
 
Baharia anaona kama Mungu kamkatiri!

Kuna mengi sana ametuandalia huko mbele ya safari.
 
Jiandae na wewe nikupeleke,
.. Hiyo UAE unayosema wewe ni ipi? Cos I've been to Dubai, Doha, Qatar na ndio emirates ambazo Atleast sheria zao sio strictly kama may be nchi nyingine Sharjah na nyingine zilizo chini ya uongozi wa Dini ya kiislam.. Dubai yenyewe tu regardless ni kuwa it's a metropolitan city andit have some diversity culture Lakini Pombe tu inapatikana kwenye Big Bars And only 3stars +Hotels..I Remember 2018 tunanunua bia kwa gharama ya hela ya kibongo 15k..so Acha uongo.. Karibu USA
 
Duniani tumekuja kumsifu na kumuabudu Mwenyezi Mungu was mbinguni, Ila hulazimishwi.
 
Umekatazwa na nani,?
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi."

1 Wakorintho. 6:9‭-‬10 SUV
 
Ahaaa, Kumbe wewe mwenzetu vizuri kwako ni Kufanya Ngono pasi na kuoa?

Kuabudu Dubwana linaloitwa sanamu lisilo na faida?

Kumbe unapenda Kulawitiwa/kulawiti?

Kulewa hadi chakari watu wanafungua spear tires?

Kuwa jambazi kwako ndio uzuri?

Kutukana watuna kukashifu aibu za wenzio kwako ndio kuzuri?

Hiki ni kioja kweli maana mimi sioni kuwa kuna raha yoyote huko.

Ukiyashiriki mambo hayo ,Ubinadamu wako wote utapotea,utaishi kwa hofu, na utaambulia makovu, magonjwa na kufa kifo

cha aibu kwa au kuishia jela .Yale unayoyaita raha hayapo kabisa kwenye safu hizo mkuu, Mungu aliyekataza hayo ni

mwenye kujua yenye kutupa sisi binadamu furaha ya kweli duniani na kesho Mbinguni.
Tafakari.
 
USA kwa kaffirs nije kufanya nini ?
 
Hulazimishwi kufuata maandiko matakatifu, Ila kaa ukijua kila uamuzi unaochukua utautolea hesabu mwisho wa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…