Hadi itumbili guest housejamaaa umefika hadi mbelikwe
Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
sikuruu..una maaisha sehemu ya haja kubwa aukwani we hujui niache bana
yaah,,ukipata mabonge ni vizuri zaidiHii itatusaidia sisi wapenda MIZIGO, hakuna wasi wa kuvunja vitanda tena, ni kuwahenyesha vibonge kimya kimya tu
Weka pichahabarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..
Si vina godoro lakini? Kama godoro lipo kuna tofauti gani kama chini kuna spring, chuma, mbao au zege? kwanza ulikuwa unachungulia nini chini ya mvungu wa kitanda hadi ukaona ni zege?habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..
nimeuliza swali na wewe tena unauliza swali.....Si vina godoro lakini? Kama godoro lipo kuna tofauti gani kama chini kuna spring, chuma, mbao au zege? kwanza ulikuwa unachungulia nini chini ya mvungu wa kitanda hadi ukaona ni zege?
hulijui zege lilivyo mpaka niweke pichaWeka picha
Umetisha mkuu kwa ujuvi wa gest houses zenye vitanda vya zege!Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
Nimeandika navipenda?Umetisha mkuu kwa ujuvi wa gest houses zenye vitanda vya zege!
Kwa nini unavipenda vitanda vya chuma?
wewe kweli ngucha inazijua guest zote za mtaa wa nneHasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
yaah..kinakuwa kama kibaraza afu juu wanaweka godoroJamani mi mwenzenu sielewii kabisa mnamaanisha nini?kitanda cha zege yaani ni kma kibaraza au mnamaana gani nifafanulie mkuu.[emoji15]
Asante mkuu kwa kunijuzayaah..kinakuwa kama kibaraza afu juu wanaweka godoro
Vitanda vya mbao wadau wanavunja chaga kila mara ndo maana wanaweza vya zege.Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma