Vitanda vya zege kwenye gesti

Vitanda vya zege kwenye gesti

Hata mtungo guest house vitanda vyake ni vya zege duh ukilalia ni kama umeweka godolo chini, nimeona guest nying niyingine kipipi guest house, riziwani guest house, mbwambo guest house, wowowo guest house, kavukavu guest house nako wana vitanda vya namna hiyo ila ukienda kimoja guest house kuna vya chuma.
 
habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..
Si vina godoro lakini? Kama godoro lipo kuna tofauti gani kama chini kuna spring, chuma, mbao au zege? kwanza ulikuwa unachungulia nini chini ya mvungu wa kitanda hadi ukaona ni zege?
 
Si vina godoro lakini? Kama godoro lipo kuna tofauti gani kama chini kuna spring, chuma, mbao au zege? kwanza ulikuwa unachungulia nini chini ya mvungu wa kitanda hadi ukaona ni zege?
nimeuliza swali na wewe tena unauliza swali.....
 
Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
Umetisha mkuu kwa ujuvi wa gest houses zenye vitanda vya zege!
Kwa nini unavipenda vitanda vya chuma?
 
Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
wewe kweli ngucha inazijua guest zote za mtaa wa nne

swissme
 
Jamani mi mwenzenu sielewii kabisa mnamaanisha nini?kitanda cha zege yaani ni kma kibaraza au mnamaana gani nifafanulie mkuu.[emoji15]
 
Mbelikwe ipo pande zipi? Hivi Oldtraford bado ipo pande keko machungwa
 
Back
Top Bottom