Vitanda vya zege kwenye gesti

Akuna namna wacha waweke maana kuna watu wafujo sana
 
Si vina godoro lakini? Kama godoro lipo kuna tofauti gani kama chini kuna spring, chuma, mbao au zege? kwanza ulikuwa unachungulia nini chini ya mvungu wa kitanda hadi ukaona ni zege?
Madem wengine vibaka uki lala unapigwa hivyo inabidi ukiingia unavuta kitanda mlangoni asa ndo unakuta zege inabidi uwe mpole
 
Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
Embu tuma picha nione vinavyokua coz.. me cjawai ata ingia guest
 
Duh sijawahi kutana navyo hivi kwenye pitapita zangu
 
Watu wanavunja sana sana furniture za watu [emoji23][emoji23][emoji23], safii ONLY IN AFRICA ndo ubunifu wetu huku afrika[emoji41]
 
yah yaan zege linawekwa,,,linakua kama zege la kwenye baraza halafu juu yake panawekwa godoro..
 
Nilienda pale Le Promise nilishangaa haswa ila kilikuwa kimepambwa na tiles fresh na juu kabla ya godoro kuna kingozi kimezungushwa kama siti za daladala by the way kinapendeza ila ndio hakisogei location yake ndio parmanento
 
Nilienda pale Le Promise nilishangaa haswa ila kilikuwa kimepambwa na tiles fresh na juu kabla ya godoro kuna kingozi kimezungushwa kama siti za daladala by the way kinapendeza ila ndio hakisogei location yake ndio parmanento
yaah ndo kina kua kama hivyo..khy mtu ni mwendo wa kumsugua demu hadi analia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…