Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madem wengine vibaka uki lala unapigwa hivyo inabidi ukiingia unavuta kitanda mlangoni asa ndo unakuta zege inabidi uwe mpoleSi vina godoro lakini? Kama godoro lipo kuna tofauti gani kama chini kuna spring, chuma, mbao au zege? kwanza ulikuwa unachungulia nini chini ya mvungu wa kitanda hadi ukaona ni zege?
SHIKAMOO!Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
Embu tuma picha nione vinavyokua coz.. me cjawai ata ingia guestHasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
Wauza nyuchi mnajulikana maana guest house zote mnazijua, nyambaff.Hadi itumbili guest house
Duh makubwaWauza nyuchi mnajulikana maana guest house zote mnazijua, nyambaff.
zipo aisee,,yaan unakuta wameweka kiambaza cha zege afu juu wanaweka godoroWauza nyuchi mnajulikana maana guest house zote mnazijua, nyambaff.
okay kumbe,,,lakin aisee cha zege hakuna raha maana mtoto anakua anaumia maana ile kwichi kwichi inaongeza stimuwamechoka kusikia kwichikwichi
Duh sijawahi kutana navyo hivi kwenye pitapita zangu
Hahah mimi mwenyewe nilishindwa kuelewa kama ni zege hili hili au ni lingineHivi ndiyo vikoje yani?
Ni zege hili hili nalolijua au?
yaah ndo kina kua kama hivyo..khy mtu ni mwendo wa kumsugua demu hadi analiaNilienda pale Le Promise nilishangaa haswa ila kilikuwa kimepambwa na tiles fresh na juu kabla ya godoro kuna kingozi kimezungushwa kama siti za daladala by the way kinapendeza ila ndio hakisogei location yake ndio parmanento