Umejuaje Mkuu hapo room nzima imepambwa kwa tiles ukuta to ukuta ac inapuliza fresh... unapiga game jasho hulijui... mpaka unaambiwa Po....yaah ndo kina kua kama hivyo..khy mtu ni mwendo wa kumsugua demu hadi analia
Mtalala makaburini mkizani kitanda cha zege
Nilikuta hich kitu kwa mara ya kwanza mtwara nilipoenda kikaz nilishangaa sanahabarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..
yah yaan zege linawekwa,,,linakua kama zege la kwenye baraza halafu juu yake panawekwa godoro..
kuwa mkweli mdadaNilikuta hich kitu kwa mara ya kwanza mtwara nilipoenda kikaz nilishangaa sana
duuuh! hii kali mm binafsi cjaawahi kukutana hali hiyo!hata Landmak hotel vipo vya zege.......... ha ah hahah
Ukweli upi?????kuwa mkweli mdada
Kama kikazi ama kivingineUkweli upi?????
Kikazi ama kivingineUkweli upi?????
Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
Inaelekea unauhakika mana tulikuwa wote!Kikazi ama kivingine