Vitanda vya zege kwenye gesti

Vitanda vya zege kwenye gesti

yaah ndo kina kua kama hivyo..khy mtu ni mwendo wa kumsugua demu hadi analia
Umejuaje Mkuu hapo room nzima imepambwa kwa tiles ukuta to ukuta ac inapuliza fresh... unapiga game jasho hulijui... mpaka unaambiwa Po....
 
yah man ndo hivyo aisee,,,,nilishawahi kukamua mtoto wa ustawi hapo mpaka godoro likaanguka kwa jinsi alivyokua anasogea sogea yaan ni full kusugua
 
Mtalala makaburini mkizani kitanda cha zege

Nadhani hizo zitakuwa zile guest za short time maana wanaweza kulitumia hilo zege zaidi ya watu kumi kwa siku na kwa wenye maumbo tofauti tofauti hadi kilo 140.Kitanda cha mbao hakitahimili kila mara ni kutengeneza chaga.Bei za hizi guest ni ndogo na mwenye heshima zake hawezi kukubali kulala kwenye hilo zege sawa na kulala kaburi la kisasa.Kaburi la kisasa zege huanzia chini na vigae huwekwa.Hata bure siwezi kwani ni kuota ndoto za kuzimu hadi asubuhi kama utaupata huo usingizi.
 
Kuna Guest Inaitwa Dabe Ipo kigamboni kisiwani hivyo ndio vitanda vyao
 
Kwasababu wenye guest house wengi ni wanaharakati wa mazingira wanatunza miti hawataki kukata miti ovyo😀
 
hivyo vitanda ni vizuri sana hasa ukiwa ni mtu unayechukua muda mrefu kukojoa
 
Si unajua mtiti wa wanaume wa mikoani lazima chaga ivunjike xo hakuna namna.
 
yah ni kweli kabisa as mtu ukipiga ile stail ya mbuz kagoma lazima chaga zivunjike
 
Hizi vitu zipo mi nilikutana nayo kinesi ukivuka na panton kutokea msm mita chache kulia kuna guest ina hizo vitu za zege wenyeji wa pande hizo wanaijua vizuri
 
Back
Top Bottom