Vitanda vya zege kwenye gesti

Vitanda vya zege kwenye gesti

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
878
habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..je ni kwa ajili ya mikikimikiki
 
mmewaingiza sana hasara na vitanda vya mbao... zege hata mpige sarakasi kitu kipo stable ... hata zile kelele za kitanda hazikiki
yaaah labda kelele za kitanda huwa ni shida hasa mnapokua kwy dog stail
 
habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..
habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..

Nadhani ni njia rahisi ya kubana matumizi. hata mimi nimeshawahi kulala gesti yenye kitanda cha zege hapo Dar! ile gesti nilitokea kuichukia sana na niliapa kutokwenda kulala pale tena. Sikuvutiwa na aina ile ya kitanda kwa kweli.
 
ha ha ha ha ha wee fundi sana eeeh wa ku kwichi kwichi vitanda vya zege,tafuta vya mabati suka kuna mahali niliviona,
 
imegundulika kuwa kuwa kitanda cha zege kina style nyingi kama sofa vlee. hvyo nawashauri hata majumbani kwenu mvitumie
 
Duh nilikutana navyo Zanzibar vitanda vya zege nilishangaa kinoma
 
Humu ndani mnachekesha mno... Hilo tanda la zege sini ni kama msingi uliowekwa ki mkeka au godoro
 
Back
Top Bottom