Vitanda vya zege kwenye gesti

Vitanda vya zege kwenye gesti

Mi nikikutana na hiyo kitu morogoro nilishangaa tu kitanda kama kaburi.
 
kitanda cha zege shuka turubai mto jiwe maji ya chumvi net nyavu, karibuni mtandamtitete guest house
 
Si mnavivunja kila siku kwa maufundi yenu! Sasa tumeamua kuweka zege ili tusipate hasara ya kununua vitanda kila siku. Nadhani umenipata Mkuu!
Tena zege haipigi makelele kama mninga
 
Ukimpata kama huyu bila vya zege itakuwaje?!
Madame b.jpg
 
mmezidi viuno kama feni mbovu ama vya paka[emoji3][emoji3][emoji3]
 
habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..
Mnavunja sana chaga kwa mizigo yenu mnayoingia nayo[emoji13] [emoji13] Vunjeni hizo zege sasa![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom