B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Feb 2, 2025 #1 Wadau naomba kwa yeyote anaejua brand nzuri ya vitasa vya mageti ya mlangoni ambavyo ni imara na havina changamoto. Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna sehemu ya ufunguo tu.
Wadau naomba kwa yeyote anaejua brand nzuri ya vitasa vya mageti ya mlangoni ambavyo ni imara na havina changamoto. Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna sehemu ya ufunguo tu.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Feb 2, 2025 #2 Basi minikajua unaomba ushauri kama wana ndondi waliokula vitasa...🤣
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 1,552 Reaction score 2,741 Feb 2, 2025 #3 PARKA ila na bei imechangamka
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 1,552 Reaction score 2,741 Feb 2, 2025 #4 Kula chuma hicho
B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Feb 2, 2025 Thread starter #5 Ngiama makanda said: View attachment 3222843 Kula chuma hichoView attachment 3222843 Click to expand... Vipi vile visivyo na mikono, yani ni kitasa cha funguo tu
Ngiama makanda said: View attachment 3222843 Kula chuma hichoView attachment 3222843 Click to expand... Vipi vile visivyo na mikono, yani ni kitasa cha funguo tu