BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Wadau naomba kwa yeyote anaejua brand nzuri ya vitasa vya mageti ya mlangoni ambavyo ni imara na havina changamoto.
Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna sehemu ya ufunguo tu.
Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna sehemu ya ufunguo tu.