Vitasa live

Jongo Jongo kapiga mmarekani mapema asubuhi ya pambano.

Ila kuna jamaa kazingua sana. Kapigwa kizembe. Hata familia yaje itakuwa inamcheka huko.
Nilipomuona tu nikajua lazima apigwe, kwanza ana mwili wa ofisini[emoji3][emoji3]
Ni huyu
 
Hamna bhana. Mashabiki masikini wala hawanaga fujo kihivo. Hua watu Wana enjoy mbonaa. I'm sure waandaaji wamepata hasara japo superb prepations.
 
Hamna bhana. Mashabiki masikini wala hawanaga fujo kihivo. Hua watu Wana enjoy mbonaa. I'm sure waandaaji wamepata hasara japo superb prepations.
Huwa wanajaa nje ya ulingo ukiwaondoa hawatoki. Matusi nje nje.
Mara nyingine pambano likiisha wanavamia ulingo.
Yaani bado wana mambo yasiyo salama.

Tournament ya leo ina hadhi yake flani hivi.
Zitakuja tu zile tournament zetu tunazozimudu kuhudhuria.
Hii ya leo tuwaachie wenye mkwanja
 
Ibra class mawe anajua bana, ha ha kama mbele vile
Ananifurahisha sana.
Kuna wakati anakuwa kama anaelekea kumaliza pambano halafu ghafla anaghairi.
Atanifutahisha zaidi akimlambisha jamaa sakafu hapo.
 
Ananifurahisha sana.
Kuna wakati anakuwa kama anaelekea kumaliza pambano halafu ghafla anaghairi.
Atanifutahisha zaidi akimlambisha jamaa sakafu hapo.
Siye tuliopo machakani uku na umeme umekata tunasubili u- tube tuangalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…