The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Aisee leo vimenoga kweli kweli maana mpaka Sasa mapambano ma tatu na yote watanzania tumepoteza 'kihalali kabisa'. Mabondia wa tz Leo Hawako vizuri kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee leo vimenoga kweli kweli maana mpaka Sasa mapambano ma tatu na yote watanzania tumepoteza 'kihalali kabisa'. Mabondia wa tz Leo Hawako vizuri kabisah
Leo wako fair kabisa na ngumi zinapigwa kweli kweliDuh nilikua na hamu ya kuangalia but aaghh
Main event saa ngapi?Leo wako fair kabisa na ngumi zinapigwa kweli kweli
Walisema saa sita ngumi zinatakiwa ziwe zimeishaMain event saa ngapi?
Maybe mpaka wakati wa pambano la class watakuwa tayari wanejaaMaandalizi yamekua mazuri,
Ukumbi umependeza, na una viwango..
Imebaki sisi wananchi kutoa support kwa kuhudhuria
Viti empty vingi
Jongo jongo namuelewa sana. atapiga mtu tuJongo jongo[emoji91][emoji91]
yeeeees. vipi Ibra Class?
Asante Sana Kwa ku note hiiMaandalizi yamekua mazuri,
Ukumbi umependeza, na una viwango..
Imebaki sisi wananchi kutoa support kwa kuhudhuria
Viti empty vingi
Nimewasha gari kutoka tabata mpaka Next door Arena.
maaamaamaaeee nafika nataka kuingia nauliza kiingilio shs ngapi. Naaambiwa kuna laki moja, laki moja na nusu nadhani na laki mbili.
Nikalala mbelee mamaaamae.
These morons are not serious aisee. Mimi nimhudhuriaji mzuri Sana WA ngumi. Mashabiki wengi ni wahuni wale wa manzese na kwingineko. In short wa Hali ya chini na ndio wanajua boxing kinoma.
Sasa Leo hii unaweka kiingilio laki cha chini kabisa what do you expect? Viti empty
Uko sahihi.Asante Sana Kwa ku note hii

Huyu ataingia pambano la mwishoyeeeees. vipi Ibra Class?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jongo Jongo kapiga mmarekani mapema asubuhi ya pambano.
Ila kuna jamaa kazingua sana. Kapigwa kizembe. Hata familia yaje itakuwa inamcheka huko.
Nilipomuona tu nikajua lazima apigwe, kwanza ana mwili wa ofisini[emoji3][emoji3]
Jamaa aliogopa kupigwa ngumi zaidi maana pulev alikuwa anataka knockout na mnamibia alikuwa kasha iva kweli kweli.MNamibia ku-surrender kwa Pulev.
Jamaa wa Bulgaria ana pumzi hatari.