Vitasa Moto: Cozmas Cheka(Tz) amshinda Hannock Phiri (Malawi) kwa points

Vitasa Moto: Cozmas Cheka(Tz) amshinda Hannock Phiri (Malawi) kwa points

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Oi! oi! wazee wa one two, one two bu baa, bu baa, Uppercuts, cross na kila kitu leo Morogoro kinajiri,

Kama kawa, matokeo utayapata katika huu uzi, Stay there, nitakuwa naweka matokeo ya mapambano kuanzia ya utangulizi hadi yenyewe

Cosmas Cheka(Tz) Vs Hannock Phiri(Malawi)

Ni pambano la kimataifa UBO - Internatinal Tittle. Light Weight

Mapambano ya utangulizi

Wapambanaji: Issa Simba(Kahama( Vs George Odongo
Uzito: Ligth Weight
Round: Nane
Matokeo: Issa Simba, kashinda kwa TKO round ya pili

Wapambanaji: Emmanuel Elias Vs Jamal Kunoga
Uzito: Super Fly Weight
Rounds: 4
Matokeo: Jamal Kunoga kwa points

Wapambanaji: Charles Chilala Vs Ondula Luckson
Uzito: Superfly weight
Rounds: 4
Matokeo: Draw

Wapambanaji: Zulfa Yusuf Macho(Tz) Vs Ndau Chilimba (Malawi) wanawake
Uzito: Buntam Weight
Rounds:
Matokeo: Zulfa, kashinda kwa KO round ya kwanza

Wapambanaji: Keisi Ally Vs Adam Ngange
Uzito: Superlight weight
Rounds: 6
Mshindi: Adam Ngange kwa points

Wapambanaji: Mada Maugo Vs Mohammed Jaylaan
Rounds: 6
Mshindi: Draw

Wapambanaji: Ibrahim Maokola Vs Juma Mlapakolo
Uzito: Supermiddle weight
Rounds: 6
Mshindi: Juma Mlapakolo, kwa points
 
Tunaomba updates za pambano please
 
Huyo Zulfa ni mtoto wa Yusuf Macho "Muso"?
 
Oi! oi! wazee wa one two, one two bu baa, bu baa, Uppercuts, cross na kila kitu leo Morogoro kinajiri,

Kama kawa, matokeo utayapata katika huu uzi, Stay there, nitakuwa naweka matokeo ya mapambano kuanzia ya utangulizi hadi yenyewe

Cosmas Cheka(Tz) Vs Hannock Phiri(Malawi)

Profile.

CHEKA
Bouts:
Wins:
KO:
Draws:
Loss:

PHIRI

Bouts:
Wins:
KO:
Draws:
Loss:

Ni pambano la kimataifa UBO - Internatinal Tittle

Mapambano ya utangulizi

Wapambanaji: Issa Simba(Kahama( Vs George Odongo
Uzito: Ligth Weight
Round: Nane
Matokeo: Issa Simba, kashinda kwa TKO round ya pili

Wapambanaji: Emmanuel Elias Vs Jamal Kunoga
Uzito: Super Fly Weight
Rounds: 4
Matokeo: Jamal Kunoga kwa points

Wapambanaji: Charles Chilala Vs Ondula Luckson
Uzito: Superfly weight
Rounds: 4
Matokeo: Draw

Wapambanaji: Zulfa Yusuf Macho(Tz) Vs Ndau Chilimba (Malawi) wanawake
Uzito: Buntam Weight
Rounds:
Matokeo: Zulfa, kashinda kwa KO round ya kwanza

Wapambanaji: Keisi Ally Vs Adam Ngange
Uzito: Superlight weight
Rounds: 6
Mshindi: Adam Ngange kwa points

Wapambanaji: Mada Maugo Vs Mohammed Jaylaan
Rounds: 6
Mshindi: Draw

Wapambanaji: Ibrahim Maokola Vs Juma Mlapakolo
Uzito: Supermiddle weight
Rounds: 6
Mshindi: Juma Mlapakolo, kwa points
Cheka na phiri ndio wanapanda ulingoni.
 
Cheka na phiri ndio wanapanda ulingoni.
Ila waandaji sijui ni kwanini wanawapangia mapambano mabondia kama kina Mada Maugo, ni kuuaibisha mchezo wa ngumi! MTU anaonekana hajafanya mazoezi muda mrefu na anapigana utafikiri ameokotwa tu mtaani!!
 
Ni aibu kwa mchezo wa ngumi, kwa maoni yangu Cheka amepigwa ila hata huyo mmalawi ni novice tu. Sidhani kama hawa ni mabondia wenye vipaji!!
 
Ni aibu kwa mchezo wa ngumi, kwa maoni yangu Cheka amepigwa ila hata huyo mmalawi ni novice tu. Sidhani kama hawa ni mabondia wenye vipaji!!
Ni ngumi gani ya maana aliyopiga mmalawi, zaidi ya kushambulia kwenye Kona na ngumi ambazo hazina point.
 
Ni aibu kwa mchezo wa ngumi, kwa maoni yangu Cheka amepigwa ila hata huyo mmalawi ni novice tu. Sidhani kama hawa ni mabondia wenye vipaji!!
Cheka anatembelea jina la kaka yale hamna kitu kabisa, kilicjo msaidia leo Phiri alikua anarusha ngumi nyingi off target
 
Cheka kapiga ngumi nyingi za point Ila Mmalawi amerusha ngumi nyingi ambazo hazina tageti.

Yaani alikuwa anapapasa tu.
ila nyie watu ni waongo balaa ! cheka kapigwa kuanzia round 1 hadi mwisho hizo ngumi za point kapigia wapi ?
 
Huyu cheka hajashinda , kapigwa mwanzo mwisho , hii ni aibu sana
Cheka alikuwa anapiga ngumi Mmalawi alikuwa anafanya mbwembwe, ngumi zilizofika usoni kwa Cheka ni Chache Sana tofauti na alizozipata Mmalawi.

Hata Nyuso zao tu zinajieleza
 
Bongo tunazingua kbsaa zile sio ngumi kbsaaa mtu unapigwa mpk mwisho zen unapewa ushindi,pia ht yale mapambano ya awali cjaona vipaji kbsaa watu walegevu kabisa.
Serikali iangalie nanna ya kuwekeza ktk huu mchezo kuwe na official sehem za watu kufanya mazoezi ht viwanja.
90% ya waliopigana wanafanya mazoezi mitaani tu.
 
Kwahiyo itoshe kusema Chaka KAPIGWA lakini KASHINDA pambano
 
Watu hata hawajui ata mchezo ulivo wao wanahukumu but alichokifanya Cheka kwa kukubali kuingia kwenye kumi na nane ya mmalawi n kitu kibaya kama angekuwa anapambana ata na yule mkongo tshibangu angekaa tu ,,mmalawi alkuwa anajipigia cherehan zake but most hazikuwa on target ya maana
 
Back
Top Bottom