RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Mambo vipi?
Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush
Mimi nipo chumba Cha nje ya nyumba kubwa Leo bhana mida ya saa 3 nikiwa nimetulia ghetto tulii nikawa naskia kama mtu anachezea kitasa Cha MLANGO wangu yaani anahangaika kabisa na MLANGO ila nikitoka hakuna mtu nikirudi kutulia baada ya muda iyo Hali inarudi Hadi mara ya tatu ni ivyo ivyo.
Leo Hadi niliingia upepo ila nikapotezea tu na nilikuwa mwenyewe tu mpangaji mwenzangu wa room ya pili hakuwepo
Kweli kazi 😀