Vitasa vya mlango kuchezewa na sioni mtu

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,509
Reaction score
3,313
Mambo vipi?

Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush

Mimi nipo chumba Cha nje ya nyumba kubwa Leo bhana mida ya saa 3 nikiwa nimetulia ghetto tulii nikawa naskia kama mtu anachezea kitasa Cha MLANGO wangu yaani anahangaika kabisa na MLANGO ila nikitoka hakuna mtu nikirudi kutulia baada ya muda iyo Hali inarudi Hadi mara ya tatu ni ivyo ivyo.

Leo Hadi niliingia upepo ila nikapotezea tu na nilikuwa mwenyewe tu mpangaji mwenzangu wa room ya pili hakuwepo

Kweli kazi πŸ˜€
 
Bila shaka unatumia cha Arusha, au nakosea kusema hivyo?



JobTrueTrue
 
Nilijuwa tu itakuwa ni watu wa Tanga au Kigoma.
 
S
Saa tatu za asubuhi au usiku? kama ni usiku na bado ukapata usingizi basi mkuu na wewe uko vizuri 😎
 
Ulizaliwa siku moja
Utakufa siku moja

Punguza uoga
 
S

Saa tatu za asubuhi au usiku? kama ni usiku na bado ukapata usingizi basi mkuu na wewe uko vizuri 😎
Ni usiku Mzee na ikajirudia Tena usiku WA mane sema nakaza tuπŸ˜€
 
Ka
Karibu tukusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…