Vitendawili, methali, nahau na mafumbo special thread

Uzuri Wa Mkakasi...

Ndani Kipande Cha Mti.
 
Mwana wa mwenzio kizushi akizusha zuka nae
 
Mla mla leo mla jana kala nini.....

mstahamili mbivu hula mbovu......
 
Habarini wakuu,
Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi....
Utaratibu ni kuwa MTU atatoa kitendawili, methali, nahau au fumbo na memba wengine wanajibu na utaratibu utaendelea vivo hivyo

Nikianza Mimi...kitendawili......nyumba yangu haina mlango........
Yai
 
Sasa uliingiaje?
 
Back
Top Bottom