Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtindo huu Tutakwisha kwa majanga
halafu wananchi wanamuangalia tu ....zimamoto ?Trafiki mwenyewe anazima moto kitozi anaogopa sare yake isichafuke
Anaogopa kuungua bwana. Hii ilikuwa lini?Trafiki mwenyewe anazima moto kitozi anaogopa sare yake isichafuke
Traffic anazima moto, Fire brigade wako wapi????, na huyo dogo kona badala ya kunyosha kidole tu, ni bola na yeye angesaidia