Vitendo hivi vya mke wangu ni kawaida

Vitendo hivi vya mke wangu ni kawaida

Huyo ndiyo mzuri ,hata mimi sipendi "KURA MCHANA" ,wife anapenda "KURA MCHANA"....

Nilitaka kukuuliza kama antena anayo lakini ulishasema kwamba haujawahi kuona "SAMBUSA".

Je Utelezi Upogo au Pangu pakavu tia mchuzi?
We jamaaa bana. Itakua antena hana uoni kakuta bikira
 
😂😂😂 Hao sinikabla ya ndoa mkuu, huyu kule kwao sijui kama wanafundwa coz n walokole ila cha ajabu siku ya kwanza alitandka shuka jeupee afu akalituma kwao kwa bus then nkadaiwa laki mbili ya shukran kwa shangaz coz ndo aloenda kulifua hlo shuka lenye damu na had leo lipo kwake
Hongera kwa kuoa Bikra, mimalaya haifai
 
Kuna watu toka wadogo wanaaminishwa ngono dhambi na uchafu. Hilo linawakaa hata wakiolewa. Ushirikiano wao unakuwa sifuri kabisa. Kumkuta safi ni ishara aliaminishwa hivyo udogoni. Ni tiba inahitaji mwanasaikolojia.
 
Lelo enzula inanyesha mkuu nko room nyingne kabisa kumwondelea usumbufu wa kulala chin coz mnyambo wangu akiwa periodic table hua analala chin na hata akijifungua hua analala chin kweny godoro lake had akikaza ndo anarud kitandan sijui ndo wanyambo wote wako hv
Mila za kagera hizo kumbe bado kuna watu wanaziishi? Wife kakulia Bush amezungukwa na mashangazi maana huko shangazi ana nguvu sana kuliko mama, huyo hata kuchuchumaa hawezi (kutandama), kukalia jiwe ni mwiko eti linapunguza utelezi, vimasharti vingi vingiii na ukikiuka hata kimoja ni kifinyo, kwahiyo imemjengea uoga,

Kwenye bikira hapo, walipatilia mkazo mno, kwanza day one ilibidi aunt yake atangulie chini ya kitanda kusikia mikito na ndo angeondoka na shuka, km hamna bikira binti ni alifinywa na kurudishwa kwao na Shuka husika lingetobolewa katikati kwa kibatari......

Huyo kumbadilisha sio kazi nyepesi, kikubwa anakupa hata km kwa masharti
 
Back
Top Bottom