Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #181
Pesa zote za kiingilio na michango mengine yote ya wanasaccos wanaojitolea wakati huu wa kuanzisha ushirika inaingia kwenye mfuko wa Vitendo SACCOS.Samahani, naomba kujua hii pesa ya kujiunga Tsh elfu kumi,ni Mali ya Saccos au?
SACCOS haichagui dini.Asante wazo zuri sana mm niko kanda ya Ziwa nitapenda nijiunge pia,swali langu ni pale ntapoitaji mkopo je patakua na ulazma wa mimi kuja kibaha? Na je Saccoss hii inachagua dini?
*Ubuyu wa Zanzibar*
Habari! Kwa mahitaji ya ubuyu Mtamu kutoka ZANZIBAR, Sasa unaweza kukufikia hapo ulipo kwa gharama ya *elfu 33* *tu kwa ndogo na elfu 55kwa ndoo kubwa* .. Weka oda yako inbox.. Uletewe mpaka ulipo kwa Dar.. Utalipia baada ya kupokea mzigo. Kwa mikoani utaongeza na gharama ya nauli tu.
*UBUYU NI HABARI YA MJINI KWA SASA USIPITWE NA FURSA HII.*
huu ni mwonekano wa ubuyu wetuView attachment 520185
Kwa maelezo zaidi piga as WhatsApp 0625249605
Mkuuu mko vzrSafi sana ndugu Zainab, ni kweli mfumo wa ISLAMIC BANKING umekuwa ukiwanufaisha watu wengi hasa ktk nchi za kiislam, lakn pia mfumo huu n world wide kwa sasa na mtu wa dini yeyote anaruhusiwa. Mfumo wa IB wenyewe haukopesh pesa taslim ila unakuwezesha mbadala wa hitaji lako. Kwa ufupi haudili na riba ila upo commercially. Mfano, ww unataka unataka kufungua duka la simu na unahtaji mtaji, mtaingia makubaliona yaan maelewano then wanakunulia hicho unachotaka, wanakupa kwa makubaliano then unaenda kufanya biashara yako.
Hiki nini tena #whhhhlp#...mjuaji wa lughaKisa nini bibi weye kutudondosha mate na swaum hizi?
Nnautaka haswa huo ubuyu, nnakupigia sasa hivi. Whhhhlup.
Asante kiongoz lakin umenijibu nusu ,nauliza tena ntapoitaji mkopo yanipasa kusafili hadi Ofsin ndonipewe mkopo?
Hiki nini tena #whhhhlp#...mjuaji wa lugha
Nimetuma kwenye Namba ya tigo sasa hiviUkitimiza masharti tunayojiwekea utakopeshwa.