Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba

Kama kweli mko serious kuanzisha Ushirika wa Kuweka Akiba na Kukopa (SACCOS) tafadhali achaneni na watu wa siasa, hapo hakikisheni kuwa mnawasiliana na Afisa Ushirika wa wilaya yenu pia muwasiliane na Ofisi ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi katika mkoa wenu au mkoa jirani. Halafu common bond yenu ijulikane. Muone Afisa Ushirika kwa mwongozo zaidi
 

Wazo lako zuri sana na tupo serious kweli kweli.

Tumesha attract kuanzia watu kama mimi wakawaid tu (simple Joe s) mpaka ma lecturers na ma professors licha ya professionals wa fani mbali mbali, wajasiriamali, wakulima wadogo na wakubwa na hata wafanya biashara.

Uliyotufahamisha tutayafanyia kazi, hatutayaacha.

Tunakuomba nawe jiunge nasi kwa faida ya wengi.
 
Wadau,

Licha ya kuwa toka siku litolewe wazo 1-5-2017 na hadi leo hii hatujakamilisha mwezi tayari kuna mambo uhimu sana yanafanyika ndani ya saccos yetu tarajiwa.

Kuna mradi wa Azolla wa majaribio ambao tayari ummeshaanza na unaleta matumaini makubwa sana.

Kuna Training Institute ambayo ipo njiani kuwa setup na team ya kufanyia kazi imeshachaguliwa.

Kuna miradi ambayo tayari immeshaanza kuandikwa kwa ajili ya saccos.

Karibuni sana mjiunge tukusanyishe talents nyingi kwa faida ya wengi.

Kama una ndoto zako na ulishindwa kuzitimiza kwa kukosa fursa ya kusikilizwa, kupewa support, kutojua ni wapi au nani wa kumfata basi Vitendo SACCOS (VTS) ni suluhisho lako.
 
ahhaaa sikuwepo hewani kwa muda! sipendagi ujinga! eti nianze kudadisi mbona kwingineko tunaingia kichwa kichwa tu na tunapata hasara kubwa! najiunga sasa hivi natuma kiingilio changu!
 
ahhaaa sikuwepo hewani kwa muda! sipendagi ujinga! eti nianze kudadisi mbona kwingineko tunaingia kichwa kichwa tu na tunapata hasara kubwa! najiunga sasa hivi natuma kiingilio changu!


Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…