TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Karibu sana...nakuwekea namba hapo uwasiliane na aunt Zainab au Kaka Abdul...utalipa 10,000 halafu unaingizwa kwenye saccosNami pia niwe mmojawapo, nafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana...nakuwekea namba hapo uwasiliane na aunt Zainab au Kaka Abdul...utalipa 10,000 halafu unaingizwa kwenye saccosNami pia niwe mmojawapo, nafanyaje?
Namba hii 0756803528Nami pia niwe mmojawapo, nafanyaje?
Karibuasante..,
Nami pia nafurahi kuwa mtu mmojawapo kwenye SACCOS hii.... I see a lot of things ahead...Mungu atusaidie...
Kama kweli mko serious kuanzisha Ushirika wa Kuweka Akiba na Kukopa (SACCOS) tafadhali achaneni na watu wa siasa, hapo hakikisheni kuwa mnawasiliana na Afisa Ushirika wa wilaya yenu pia muwasiliane na Ofisi ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi katika mkoa wenu au mkoa jirani. Halafu common bond yenu ijulikane. Muone Afisa Ushirika kwa mwongozo zaidi
Uzi mzur san huu ngoja niufatilie
Nami nimevutiwa na hili
Nijiunga muda sio mrefu
ahhaaa sikuwepo hewani kwa muda! sipendagi ujinga! eti nianze kudadisi mbona kwingineko tunaingia kichwa kichwa tu na tunapata hasara kubwa! najiunga sasa hivi natuma kiingilio changu!