Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,448
Mnakaa pamoja na kuelewana ni jinsi gani wata finance biashara yako na kisha mtagwana faida ya biashara kwa kila mwezi kwa kipindi maalumu. Percentage za kugawana mtakubaliana pia ukipata hasara katika mwezi husika hamtagawana kwakuwa hakuna faida itakuwa imepatikana. Kwa lugha nyingine buashara inakuwa ni partneship kwa kipindi maalum kisha biashara itakuwa yako peke yako.na je lazima uweke dhamana? maana ukipata hasara wao wana recover vipi hasara yao? Mfano nahitaji mtaji wa operation kwa miezi sita. Ina maana watawalia wafanya kazi wangu kwa miezi na kupilipa bili zote kwa miezi sita? Hao huu mkupo ni kwenye rawa materials tu wao kukununulia?
Kimsingi wao wataangalia kama biashara yako inafaida, kama haina faida hawatakuwezesha kwasababu hata wewe huwezi ingia ubia kwenye biashara isiyo na faida.