Mimi naona yale yale tu
Yaleyale kivipi ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona yale yale tu
Mimi nazungumzia wale wanaosema mfumo wa Islamic Banking kwamba unakopeshwa bila riba,kama wewe unaenda benki kukopa pesa ufanye biashara wakakupatia mfano million 1 lakini wakataka ukirudisha urudishe million 1.1 na wale wa Islamic Banking wanakununulia bidhaa unayotaka kwa kiwango kile kile kisha wakakukopesha ila ukilipa ulipe na nyongeza kidogo ndio nikasema yote ni yale yale.
na je lazima uweke dhamana? maana ukipata hasara wao wana recover vipi hasara yao? Mfano nahitaji mtaji wa operation kwa miezi sita. Ina maana watawalia wafanya kazi wangu kwa miezi na kupilipa bili zote kwa miezi sita? Hao huu mkupo ni kwenye rawa materials tu wao kukununulia?
Je hakuna namna ya kuonana ana kwa ana kwajili ya kupeana elimu zaidi juu ya mfumo huu pamoja na malengo na mikakati yake pasipo kusibiri mpaka kikao kitangazwe?Tutumie whatsapp kwa namba 0625249605, tuna whatsapp nyingi sana za kujibu.
Je hakuna namna ya kuonana ana kwa ana kwajili ya kupeana elimu zaidi juu ya mfumo huu pamoja na malengo na mikakati yake pasipo kusibiri mpaka kikao kitangazwe?
Mimi ni mkazi wa kibaha na ningependa kuonana na wewe tupeane elimu zaid.
Will join you soon...I hope sijachelewaHakuna riba kabisa.
Will join you soon...I hope sijachelewa
HISA zinauzwa kwa bei gani?, zitahitajika ngapi ili mtu aweze kukopeshwa?
Daah mpango huu nimzuri hata mm nipo mbioni kujiunganao
nataka kujiunga ili nahitaji maelezo kidogo natuma hiyo elfu kumi zeni maelezo mengine vipiHaujachelewa na ukijiandikisha mapema, kabla hutajasajiliwa rasmi unakuwa ni "mwanachama mwanzilishi".
Kujiunga nasi kwa sasa ni TZS. 10,000 tu. Unatuma kwa Mpesa 0756803528, na unatutumia majina yako matatu kwa whatsapp 0625249605, ili tukusajili.
Karibu sana.
bi zainab asalam aleyqum..swali langu je sisi tunaoishi zanzibar tunaweza kujiunga na hiyo saccos ?asante
inshalla shukran..Kabisa tena. Unaweza kujiunga nasi popote ulipo.
Hivi sasa tayari tuna wanachama Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania (diaspora) wamejiunga.
Karibu sana.
nataka kujiunga ili nahitaji maelezo kidogo natuma hiyo elfu kumi zeni maelezo mengine vipi