Vitendo vya Polisi haviwasaidii watawala bali vinazidi kuharibu

Son of Israel from Africa

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
2,006
Reaction score
2,963
Leo wala sitoi salamu hata kidogo ,hata kama sio wazima maana huko DSM watu wengi hawako na afya kabisa

Nataka leo nijikite kutoa USHAURI kwa polisi wetu ,nakiri kwamba mnafanya kazi nzuri ya ulizi na usalama ndio maana nchi yetu tunaweza kutembea usiku na mchana bila kusikia hata hatari yoyote ,ijapokuw nchi yetu ni kubwa
Lakini Polisi hamuwasadi CCM wala Serikali ,mnaenda kutengeneza chuki ya hali ya juu sana na mwisho itakua kidogo kidogo mwisho itakuwa mbaya sana

Mnawaharibia kabisaa maana hata humu ndani kwa CCM hatukubaliani na yanayofanyika hata kidogo sifa mtapewa sanaaa ila mnapanda chuki ya hali ya juuu sanaaa ,ni vizri sana mkatumia busara ,

Kulikuwa na sababu gani kuwapiga watuu namna hiyo ,kwanini hamkuwaacha waingie mahakamani kama kawaida na kama kuna yeyote anayetak kuleta fujo mmepotezeee ,kuliko yale yote mliyoyafanya ambayo yamewonyesha kwamba hamtumiii akilii.

AKILI NDOGO SANA INGETUMIKAAAA
 
Lakini
Polisi hamuwasadi CCM wala Serikali ,mnaenda kutengeneza chuki ya hali ya juu sana na mwisho itakua kidogo kidogo mwisho itakuwa mbaya snaa

Mnawaharibia kabisaa maana hata humu ndani kwa CCM hatukubaliani na yanayofanyika hata kidogo sifa mtapewa sanaaa ila mnapanda chuki ya hali ya juuu sanaaa ,ni vizri sana mkatumia busara ,

Kulikuwa na sababu gani kuwapiga watuu namna hiyo ,kwanini hamkuwaacha waingie mahakamani kama kawaida na kama kuna yeyote anayetak kuleta fujo mmepotezeee ,kuliko yale yote mliyoyafanya ambayo yamewonyesha kwamba hamtumiii akilii.

AKILI NDOGO SANA INGETUMIKAAAA

Biblia Takatifu,

Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo."
 
Wanaendeshwa kwa rimoti. Ipo siku itakula kwao watu wakichafukawa wataanza na familia zao tunaoishi nazo mtaani.
 
Leo wala sitoi salamu hata kidogo ,hata kama sio wazima maana huko DSM watu wengi hawako na afya kabisa

Nataka leo nijikite kutoa USHAURI kwa polisi wetu ,nakiri kwamba mnafanya kazi nzuri ya ulizi na usalama ndio maana nchi yetu tunaweza kutembea usiku na mchana bila kusikia hata hatari yoyote ,ijapokuw nchi yetu ni kubwa
Lakini Polisi hamuwasadi CCM wala Serikali ,mnaenda kutengeneza chuki ya hali ya juu sana na mwisho itakua kidogo kidogo mwisho itakuwa mbaya sana

Mnawaharibia kabisaa maana hata humu ndani kwa CCM hatukubaliani na yanayofanyika hata kidogo sifa mtapewa sanaaa ila mnapanda chuki ya hali ya juuu sanaaa ,ni vizri sana mkatumia busara ,

Kulikuwa na sababu gani kuwapiga watuu namna hiyo ,kwanini hamkuwaacha waingie mahakamani kama kawaida na kama kuna yeyote anayetak kuleta fujo mmepotezeee ,kuliko yale yote mliyoyafanya ambayo yamewonyesha kwamba hamtumiii akilii.

AKILI NDOGO SANA INGETUMIKAAAA
Kwenda mahakamani sio kosa!Ina maana hiyo tarehe ilikuwa ni kesi ya Lissu tuu?!!
 
Una Wasira una Makalla unategemea watashauri nini tofauti na hiki unachokiona?
 
Back
Top Bottom