Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Namkumbuka sana jamaa aliyejitolea kupambana na wafanya biashara wa pembe za ndovu, alifanikisha kukamatwa Kwa malkia wa ndovu, lakini ndani ya kifupi uhai wake pia ulinyang'anywa!

Mambo makubwa namna hii (hasa yakihusisha watu mashuhuri), yanapaswa kushughulikiwa na state iliyo serious Kwa akili nyingi mno! Lakini vinginevyo ni hatari sanaaaa!
Ni swala la muda tu! Catherine amejitahidi kuvaa ujasiri, lakini....
 
KUNA SHG MMOJA WENYEWE WANASEMA NI DISIGNER WA MAVAZ MPAKA WASANII WANAMTUMIA UNAAMBIWA JUZI KATI ALIKUWA ANAZINDUA OFISI YAKE MITAA YA KWA MAKOMA
HILO NYOMI SI LA KITOTO MABASHA+WASANII KIBAO WA KIBONGO WALIKUWEPO

CHUKUA NYINGINE HII,JUZI KATI UNAAMBIWA,KUNA SHOGA KAPANGIWA MITAA YA BUIBUI NYUMBA,HAPO KUNA BAHASHA WAWILI FUMQNIANA KWA SHOG
HUYO MPAKA WENYEWE KWA WENYEWE WAKATA KUZICHAPA
WAKIMGOMBANIA SHG HUYO
MMOJA ANAMWAMBIA MW3NZAKE YEYE KAMPANGIA NYUMBA,NA MWINGINE ANASEMA YEYE KAMPA MTAJI
KWA KIFUPI MM NINGEKUWA NDY SERIKALI NINGEPIGA MAARUFUKU MAMBO YA WASANII NA MATAMASHA YAO.....
MPAKA NIONE WANAKAA KWENYE MSTARI

OVA
 
[emoji23][emoji23]kwamba ukivaa au kunywa unafuata mwenyewe akufumue marinda.Nimecheka

Hiyo ripoti iko wap mkuu na mm niipitiee
Uko pamoja na Mimi, Jana niliandika thread nikaifuta. Kwa kifupi ile report ina mapungufu makubwa ukiachana na huyi mzungu
1. Takwimu za mashoga na wasagaji hazina uhalisia, kwa mfano ukisema njombe Kuna Wasagaji na mashoga 3000 huku ukiwataja SUMASESU ni upotoshaji.
2. Ili uthibitishe kuwa kitu Fulani ndio kisababishi cha kitu kingine inabidi kuwe na factors kadhaa. Walitakiwa kuwapima watu wanaodaiwa kuwa wamekuwa mashoga baada ya kutumia hizo perfumes kwa mtiririko huu, unamchukua Juma unathibitisha kuwa sio shoga, unamuweka kama chambo anatumia hizo perfume then Juma anaanza ku-develop viashiria vya ushoga, hapa ndio unaweza kuhitimisha ila kumbuka hii process inachukua muda maana tunazungumzia hormones.
3. Serikali ilitoa muongozo wa jinsi ya kuwasaidia hao MSM ili kupunguza maambukizi ya VVU, muongozo upon, sasa huwezi kuwahudumia bila kuwa-identify ndio chanzo cha kuwepo kwa Projects kama zile za SAUTI ambazo walisema zinagawa vilainishi.
4. Takwimu nyingi zilikua au ni fake kwasababu NGO nyingi zilitumia wrong approach. Yaani wali-recruit Vijana wa kuwafikia hao MSM, changamoto ikaja, nani atajitangaza? Kwahio ikawa na fund kwa anayekubali taarifa zake ziandikwe analipwa I think ilikua 20,000. Wale wafanyakazi waliwekewa target kwahio most of them wakawa wanafanya forgery kubwa, wanaingiza taarifa feki wanaenda wanapewa mshiko, hili nilishuhudia kwenye mradi wa SAUTI.

KWAHIO KUNA DALILI KUBWA SANA ZA AKINA MWAKYEMBE KUBURUZWA MAHAKAMANI
 
Hakika mkuu
Sala na maombi yetu vinahitajika sana
 

Unatisha nani nyau? Unataka watu waogope?
Woga kama huo ndio unafanya nchi za kiafrika zisiendelee

Watu kama Catherine ndio wanatakiwa majasiri
 
Wahuni wakiamua kumkata kama umeme wa tanesko utashangaa serikali itaingilia kati
 
Nakushauri tu uache ushoga utaishia pabaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi hayooo yoteee baba tamu wangu kakubalii na ameyapokeaa na anaishi nayoooo.

Hebu relaaaaaaxxxx unateseka na nn?? Lol
Ungekua na baba tamu ungekesha jf mpaka saa hz?Unaaga umechoka ila bado upo tu.
Achana na maisha ya kupakwa pakwa mavi wewe sio mende.
Mpokee Yesu njoo unioe kigagula mie uanze majukumu kama wanaume wenzio.
 
Nani Kati yenu anamjua shoga yeyote personally achana na hawa wa mitandaoni na maarufu? Probably hakuna. Mnaangalia na ishu non-existent wakati Kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili. Miafrika inawaza ngono tu.

Kwanza ijulikane estrogen (female hormone) hata wanaume wanazo naturally and vyakula vya Kila siku vina ongeza estrogen kwa wanaume na bado wengi tu sio mashoga. Haiwezekani a one time dosage tena ya toothpaste na perfume imfanye mtu awe shoga. Haiwezekani. Halafu wewe mwanaume na ndevu zako unakubali zawadi ya perfume na toothpaste kweli? It will take a truckload of it kumgeuza mtu awe shoga.

Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?

Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No more, no less. Msikimbie majukumu yenu. Mashoga wengi wameanza hii michezo majumbani mwao sio shuleni wala sehemu nyingine.

Kila research Ina agenda yake sijui huyu dada agenda yake ni ipi. Itakua kasoma upepo kaona mitanganyika inapenda story za ushoga kajiongeza.

CC: BICHWA KOMWEE Dr. Mariposa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuuu yakeeee haniweziiii, yeye ndo ana panick. Uwiiiiih
Kakushika pabaya.
Mwenyewe ukajua umepata danga?
Koka bana😁😁Eti utumiwe hela kwa halopesa?
Kama unataka hela nenda kabebe zege wee mwanaume kuna siku watakutoa huo utumbo wa kuhifadhia mavi kabisa.
 
Mbona unawatetea mno Mashoga? Nawe ni Mdau au Mjumbe wao tukuka?
 
cocastic imepumzishwa sasa inatumika ID nyingine🤣.
Mtu mmoja huyo huyo shoga huyo huyo lesbian huyo huyo komwe komwe huyo huyo naniliu.Tuliograduate Cuba tushashituka
 
Pumbavu niko Kawe na siyo mbali na Shoga Mkuu na Maarufu mwenye HIV na ameshaua na anaendelea Kuua kwa Kuwaambukiza aitwae God ( aishie Mita chache tu kutoka lilko Geti dogo la Kuingilia Kambi la Jeshi ya Lugalo ) na Mwingine aitwae Micky ( anaishi Kawe Ukwamani Makaburi Matatu ) ambaye mwaka Jana alinusurika Kuuliwa Mikocheni.

Huna Akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…