Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ni juma nne usiku nikiwa bar moja maarufu hapa mjini baada ya mishughuliko ming nkasema nipate moja moto moja baridi nirudi kwa nkalale na familia yangu.

Sikuamini nilichokiona kafika katika meza niliyokaa mkaka mwenye heshima yake kama kawaida ya mahali hapo watu huwa wengi sana hivyo meza moja inaweza kukaliwa n watu tofauti kila mtu akiwa na hamsini zake.

Balaa linaanza huyo mwamba ananiambia kaka kuna mgeni wangu anakuj hapa naomba icho kiti asikichukue mtu kikawaida uwa panajaa nkamjinu usijal ww weka bia inesha kama kuna mtu yupo hapo hawawez chukua akaelewa.

Kimbembe kinaanza jamaa huyo anapoingia uwezi amini hata kama anaweza kua na tabia hizo nashtuka wanaposalimiana kipumbavu. Nkasema dunia inaenda speed sana imebidi nisiongeze niwahi nyumbani mana jamaa aliyekuja anamuuliza huyo wa kwanza na huyu mdau au vipi?

Ilibidi niamke taratibu nikiwa napiga simu ya kutunga ili niondoke eneo hilo aisee tusali kila mtu kwa imani yake maana sijaelewa kabisa wala sielewi nilichokiona. 🤔🤔
Dunia Ina mambo
 
Ni worse kuliko kawaida hali mbaya.
kuna rafiki yangu alinipgia simu mwaka jana ananiambia mtoto wa dada yake alikuwa kidato cha pili mwaka jana alimtumia mwanafunzi mwenzake barua akimweleza kuwa waende chooni amfanyie hivi na vile yani in detail. aliyetumiwa akaipeleka kwa mwalimu ndo mzazi kupigiwa simu.
Dogo alitembezewa bakora ndipo wanagundua ameanza michezo hiyo kitambo na huwa weekend anaaga anakwenda shule kumbe anaenda kwa masponsor.
So, haya mambo ni makubwa sana na media zinayakuza. Vijana wanaona watu wanaotuhumiwa kujihusisha na mambo hayo wanaishi kwenye apartments and wanasukuma ndinga za maana tamaa zinawaingia na ndiyo mastar kwenye media.
Na sasa hivi jamii imeyafanya yawe ya kawaida.
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.

Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!

Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
Mwenyezi Mungu avinusuru vizazi vyetu
 
Hapa tuition juzi mvulana wa darasa la pili anamwambia mvulana wa chekechea, twende tukabakane.

Uchoga unaanza utotoni.

Nawatafuta wazazi wao niongee nao.
 
Huko zenji na mikoa ya pwani..wanawake wanalinda bikra ya mbele.. ila kuliwa nyuma rukhsa
 
Ni worse kuliko kawaida hali mbaya.
kuna rafiki yangu alinipgia simu mwaka jana ananiambia mtoto wa dada yake alikuwa kidato cha pili mwaka jana alimtumia mwanafunzi mwenzake barua akimweleza kuwa waende chooni amfanyie hivi na vile yani in detail. aliyetumiwa akaipeleka kwa mwalimu ndo mzazi kupigiwa simu.
Dogo alitembezewa bakora ndipo wanagundua ameanza michezo hiyo kitambo na huwa weekend anaaga anakwenda shule kumbe anaenda kwa masponsor.
So, haya mambo ni makubwa sana na media zinayakuza. Vijana wanaona watu wanaotuhumiwa kujihusisha na mambo hayo wanaishi kwenye apartments and wanasukuma ndinga za maana tamaa zinawaingia na ndiyo mastar kwenye media.
Na sasa hivi jamii imeyafanya yawe ya kawaida.
Huyo kijana wa 4m 2 alimtumia mwenzake wa kidato kipi?
Afu huyo aliyetumiwa, alishindwa ku solve jambo yeye km yeye bila kuhusisha Walimu?

Useless boy, Lol

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.

Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!

Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
tunakaribia kubalace, straight 50% LGBTQ 50%, dunia ya leo ni changamoto sana ku-raise watoto, eti walimu, wachungaji/pastors etc ni LGBTQ openly 😡
 
Back
Top Bottom