Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Huyo jamaa alikuwa mfanyakazi wa British Gas kabla hawajauzwa kwa Shell. Kwani bado yupo?
Hayuko Mozambique au South Africa? Zamani zile pale George and Dragon, alikuwa ndio King wa kuwapa bata watoto wa kiume wanaojilegeza shingo. Jamaa alikuwa ana group kabisa.
Shame hii haikufanywa enzi zile
 
sorry ulijuaje ana HIV ? ulimpima? tusipende umbeya waswahili , tuongee vitu tukiwa na full evidence
 
Duh! Nimezungumza facts sijasema natetea mashoga, hili ndio tatizo kubwa la Watanzania wengi. Tunabebwa na upepo our reasoning capacity iko chini mno, ndio maana akija mtu akisema anatibu kwa kutumia kikombe wote tunakimbizana
Sawa Gasho.
 
Nina wasiwasi na uongozi wa jamii forum katika kukuza na kuhamasisha ushoga.

Hivi kwanini hawa mashoga wanahamasisha ushoga hawapigwi ban?? Na ukitaka kubishaana nao basi ban inakuhusu wewe??
Kwanini Matusi makubwa kutoka kwa mashoga hayafutwi??
 
Duh! Nimezungumza facts sijasema natetea mashoga, hili ndio tatizo kubwa la Watanzania wengi. Tunabebwa na upepo our reasoning capacity iko chini mno, ndio maana akija mtu akisema anatibu kwa kutumia kikombe wote tunakimbizana
nmesoma content yako nmekuelewa vilivyo ila weng hawatokuelewa sabab bado wanaakili za mihemko , ushoga haupigwi vita kwa kuamin uvumi au kumzonga kila tunaemshuku ilihali haonekan kufanya , athari za hiz vumi soon tutaanza zifeel maana sasa hv tuna mu attack kila mtu
 
waafrika ni vituko sana , mtu atoke ulaya kweny mashoga weng aje kugawa dawa na perfume na jez ili apate takle , dah afrika sijui wap tulifer tupo weak kweny kila kitu
 
Serikali inaogopa kutolewa Malinda ila jamani Ushoga umekuwa kweli aiseee.


Watoto wengi wanafundishwa ujinga kupitia vitabu vyao.
ila tusitumia uvumi kuhukumu watu , hii mentality inaeza kukuangukia wew au hata ndugu yako ukawa victims wa uvumi , tuwe na research sio uvumi wa mdomon
 
Uundwe mpango mkakati wa kuwa maliza kimya kimya, tena nyumba hadi nyumba! Zile sumu za kuua taratibu zitumike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…