Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wapi Mungu alielewa kuua kiumbe wake?
Anasemaje kuhusu mauaji?

Umeshasoma Amri zake 10?
Sku zote ukiwa na painfull kwenye jmbo fulan kuna maamuz utayafnya hvyo,sote tunaelwa kuwa hili tukio sio productive kwenye this life ndgu yangu unajisikiaje mwanao wakiume kulipiwa mahar au wakike kuolewa na msichna mwenzake jee upo tayar kuyashuhudia hyo kma mzazi mzury kwa wanaee.
Au tunabishna kwa sabbu sisi ni wananch wotee ndgu yangu jiulize hvi kma wazazi wetu wangefanya hvi sisi tungezaliwa wap ask yourself ndgu yangu usiseme kuua ni kosa ilihali hujui kwann watu wanauaaa
 
Unataka kuhalalisha mauaji kwa kutumia hisia zako?
Ulishaona yule mwanaume aliyemfumania mke wake akamuua je alifanywa nini?

Suala binafsi la mtu mzima aliyeamua kutumia viungo vyake anavyojua yeye wewe unapata wapi ujasiri wa kuumia na kumuua?

Huoni kama tatizo linakua kwako
 
Oky its fine
 
MASHULENI HAPO...Wanafunzi wa kiume hao wamevaa mavazi ya kike.Loohh Majangaa makubwa sana.


Your browser is not able to display this video.

Download
720
Download
720
 
Funny enough, juzi tumekubali kupokea mabilioni ya US kwa kupitia Makamu wake, watu wanajua zile pesa ni za mchezo mchezo TU. Pesa tunataka ila attachment yake hatutaki....
 
Nimeskia ka clip kamoja kanaelezea watoto wanavyopewa dawa za meno zenye hormone flani hivi haya ni kweli.?
 

Hilo ndo swali langu, wewe unamjua shoga yeyote personally ambaye ni rafiki/ndugu au colleague wako?

Kuna shoga yeyote kazini, mtaani, shuleni, nyumba ya ibada unayoabudu wewe binafsi? Yani wewe kuna shoga unayemjua ana kwa ana? Watu wengi hawana shoga yeyote in their circle hapa bongo, sasa kwanini mnatumia nguvu nyingi kupambana na ishu non-existent? Hii ni kuua nzi kwa nyundo.

Ripoti tayari TBS wamekanusha hawajakuta kemikali yeyote kwenye hizo dawa za mswaki na hayo marashi. Ni wajinga tu ndo waliamini hiyo ripoti ya mufilisi mwakyembe na yule muandishi kanjanja.
 

Popoma, arguing with you is wasting my precious time. Nonetheless, watu wengi hapa bongo hawana shoga yeyote in their circle. Mnaua nzi kwa nyundo kupambana na ishu non-existent.

Kama unawajua mashoga wawili wewe utakua shoga wa tatu. Everything comes in a set of threes.

Kama unaamini marashi na dawa ya mswaki vinakufanya uwe shoga basi umeprove pasi na shaka jinsi ulivyo popoma mbobezi.

TBS washakanusha madai ya mwakyembe na yule muandishi kanjanja, endeleeni kuamini nyie mapopoma.
 

Blender ya taifa 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ndiyo nina family friend ni shoga. Aliwahi onekana kwenye shooting ya wimbo wa Snura

Nilikua bodaboda nimeshakua na abiria shoga.

Kwani mkuu unaishi wapi ambapo hakuna mashoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…